Leo
jioni wakazi wa jiji la Mwanza wamepata adha mara baada ya barabara
muhimu ya Kenyata kufungwa kwa muda katika muda mbaya wa kurejea kutoka
makazini mara baada ya karandinga la jeshi la polisi lililokuwa
likitokea mahakamani kuelekea gereza la Butimba, likiwa na mahabusu
kusababisha ajali mara baada ya kupoteza uelekeo . |