Saturday, July 21, 2012

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda Aongoza Ujumbe wa Wabunge Kutoka Salaam Za Rambirambi Kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Kufwatia Msiba wa Ajali ya Meli ya Mv Skagit

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais, kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul iliyozana juzi ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwaRais, kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Peter Serukamba, akiwa miongoni mwa Wabunge walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais, kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama Cynthia Hilda Ngoya, akiwa katika Ujumbe wa Wabunge  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais, kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Margareth Sitta, ambaye pia ni mmoja kati ya Wajumbe wa bunge la Jamhuri waliofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa  pole kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar