Napenda kuwaarifu kwamba kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri unaweza kukipata kwenye email yako kwa mfumo wa PDF. Kwa wale wanaohitaji wanaweza kunitumia Sh. 5000 kwa M PESA kwenye simu namba 0755394701 kisha kunitumia email zao na mimi nitawatumia email iliyoambatanishwa na kitabu.
CHARLES NAZIMtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara
Kitabu hiki kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na kupata utajiri.
Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi ni mshauri wa masuala ya biashara. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo ya uendeshaji wa biashara mbalimbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu walioomba ushauri kutoka kwake.
http://www.squidoo.com/kitabu-