Muda Mchache baada ya Ndege ya Rais Kuwasili katika uwanja wa kimatiafa wa Songwe Mbeya
Umati wa watu ukimngojea Mh. Rais Jakaya Kikwete
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa anashuka kwenye ndege
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na madiwani
Rais Dr Jakaya Kikwete akiwa anapita kati kati ya watoto skaut
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiendelea kusalimiana na waheshimiwa Madiwani
Rais Dr Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi Songwe Mbeya
Rais Dr. Jakaya Kikwete akivishwa Skafu
Hivi ndivyo uwanja wa Kimataifa wa Songwe unavyo onekana kwa sasa
Picha zote na Mbeya yetu blog wa www.blogszamikoa.blogspot.com