NDAGA WILAYANI RUNGWE VURUGU TUPU BARABARA YAFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE KISA LITOLEWE GETI LA USHURU WA MAZAO
OFISI YA USHURU WA MAZAO NDAGA IMEBOMOLEWA NA KUCHOMWA MOTO
BARABARA YA MBEYA RUNGWE IMEFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE
WAKAZI WA NDAGA WILAYANI RUNGWE WAMEFUNJA GETI LA USHURU WA MAZAO NA NA KUCHOMA OFISI HIYO YA USHURU KWA MADAI HAWAONI FAIDA YA GETI HILO KWANI LIMEJAA RUSHWA TUPU NA UNYANYASAJI KWA WAKULIMA