Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa: La VIVA BOOK PROJECT P.O BOX 79119 Dar Es Salaam Mob : 0657 10 12 14 Mshahara : Tsh 300,000 kwa mwezi. Sifa za mwombaji: - Awe mtanzania - Ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha - Awe na umri usiopungua miaka 18 - Awe muaminifu - Awe tayari kufuata taratibu za kazi atakazopewa. |