HUYU NDIO MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME 5
Anaitwa
Ruth Matete kutoka Kenya na ndio ameondoka na kitika cha million 5 za
kenya na mkataba wa kurecord album wenye thamani ya million 10.Ruth ana
miaka 26 na amewashinda vijana wa nne wenye uwezo mkali sana ambao ni
Joe kutoka burundi ndio namba nne ,akifatiwa na Jackson kutoka Rwanda ,
Doreen kutoka Kenya akiwa namba mbili . Wakati wanataja washindi
mtangazaji wa tusker project fame aliwabakiza wawill Ruth na Doreen aka
Miss Probation na kuacha watu wakitabiri yupi atakuwa mshindi . Shindano
hili huwa linaanza na washindani 15 na 11 hutolewa mapema kabla ya week
ya fainali
Usiku wa fainali, Kundi
la vijana wakali kupitia ngoma zao kama party don't stop na Hold it down
Camp Mulla walifanya show na Sarakasi dancers.Show ua Camp Mulla
ilikuwa nzuri ila malalamiko ya watazamaji ni mavazi na muonekano wa
Camp Mulla haujaendana na show hio .