Monday, April 09, 2012

WATANZANIA WAZIDI KUMIMINIKA KWENYE MSIBA WA KANUMBA .

Mwigizaji wa kitambo kidogo Annita John akipepewa baada ya kuzimia.
Mbunge wa Ilala Musa Zungu akizungumza muda mfupi  baada ya kuwasili.
Miss Tanzania wa mwaka 2000  Jacqueline Ntuyabaliwe akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.
Mwenyekiti wa Chamudata mzee Kassim Mapili akitia saini.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akitia saini kwenye kitabu  hicho.
Mh. Martha Mlacha akiimba nyimbo ya maombolezo kwenye msiba huo.
MAMIA ya waombelezaji bado wanazidi kumiminika nyumbani kwa aliyekuwa muigizaji maarufu nchini, Steven Charles Kanumba maeneo ya Sinza Vatican, jijini Dar  huku viongozi wa nyadhifa mbalimbali serikalini wakipishana.

PICHA ZOTE: IMELDA MTEMA NA GLADNESS MALLYA/GPL

KWA HISANI YA GPL.