Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican jijini
Dar es salaam leo kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam. |
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt.Rehema
Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili
9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza
kesho asubuhi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu