Wanakamati wa shughuli ya kuandaa mazishi ya marehemu Steven Kanumba wakijadiliana jambo katika Viwanja vya Leaders leo.
Maua yaliyoandaliwa na wanakamati hao.
Jukwaa la shughuli hiyo likiandaliwa.
Canter likisomba viti kwa ajili ya shughuli ya hapo jana.
PICHA ZOTE NA ERICK EVARIST/GPL
Kwa Hisani ya GPL