Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na
ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu taasisi ya utafiti wa kilimo
(Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea
Aprili 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akijaribu kofia aliyopewa kama zawadi na uongozi wa taasisi ya utafiti
wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA)
alipoitembelea Aprili 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kutambua muda wa kumwagilia
maji shambani iliyoundwa na taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian
Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea Aprili 17,
2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na
ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu ukulima wa nyanya wa kisasa katika
taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise -
EMBRAPA) walipoitembelea Aprili 17, 2012 nje kidogo ya jiji la
Brasilia.
Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa (AFRIKA) wa Brazil
Balozi Paulo Cordeiro de Andrade Pinto jijini Brasilia, Brazil Aprili
17, 2012
PICHA NA IKULU