RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles
Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa
ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa. Rais
Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa
marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo
Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa. Rais
Kikwete akiwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Steven Charles
Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012
alipofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais
Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles
Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012
alikofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais
Kikwete akiaga waombolezaji nyumbani kwa marehemu Steven Charles
Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012
alikofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais
Kikwete akiongea na wanahabari nyumbani kwa marehemu Steven Charles
Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012
alikofika kuomboleza nao kifo hicho.