RAIS JK AWAPA POLE WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA KANUMBA
Rais Jakaya Kikwete akiusalimia umati wa waombolezaj.
Rais Kikwete akimsalimia mwanamitindo, Millen Magese. Mdogo wa marehemu Kanumba, Seth Bosco (kulia). akiongea na wanahabari.
Wasanii wakijipanga kumuaga rais.
Kikwete akiondoka msibani.
… Akiongea na wasanii Vincent Kigosi ‘Ray’ (wa pili kulia) na Jacob Steven ‘JB’ (kulia).
Waombolezaji waliokuwa na hamu ya kumuona.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika nyumbani kwa marehemu Steven
Kanumba huko Sinza Vatican Jijini Dar es Salaam amewapa pole ndugu
jamaa, wasanii na waombolezaji wengine waliojumuika kwenye msiba huo. PICHA : RICHARD BUKOS NA ERICK EVARIST/ GPL