Monday, October 10, 2011

jaji mkuu alipotembelea mkoani kagera

 
 

Sent to you by G via Google Reader:

 
 

via MICHUZI by Michuzi on 10/10/11

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Othman Mohamed Chande akikaribishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Salewi, pindi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba hivi karibuni, Mhe. Jaji alitembelea Mkoa wa Kagera kukagua miradi mbalimbali ya Mahakama ikiwamo kutembelea Mahakama za Mwanzo na Wilaya kwa lengo la kubaini matatizo mbalimbali yanayowakabili Watumishi wa Mahakama ya Tanzania. (Picha na; MARY GWERA, MAHAKAMA YA TANZANIA)

 
 

Things you can do from here: