Sunday, June 05, 2011

Ngamia myama anaeishi Jangwani.

Katika safari yangu ya kuzunguka duniani sikuweza kujua kwamba kuna siku nitakutana na mnyama aitwae ngamia.

Mnyama huyu kwa kweli ni mrefu tofauti na Ng'ombe. Nilifurahi sana nilipomwona na jinsi anavyotembea kwa madaa kama twiga. Wakati tunaendelea na safari yetu ya kuangalia dunia nilibaini kiu kimoja kuwa ngamia ni mnyama mwoga sana akipigiwa honi ya gari. Basi atakimbia sana kwa kuruka ruka ili ajiponye nafsi yake. Ama kweli kumbe hata ngamia na wewe unaogopa kifo?


Katika picha hiyo hapo juu unaweza ona jinsi ngamia walivyo.