Monday, June 06, 2011

Breaking News: Mh. Mbowe aachiwa huru.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Mbowe (CHADEMA)ameachiliwa huru baada ya Mahakama kumfutia hati ya kukamatwa na kuruhusu dhamana yake iendelee.

Habari zaidi tutaendelea kupashana zaidi, endelea kufuatilia Blog yako.