Friday, October 15, 2010

Asanteni Kwa kuendelea kufuatilia Blogu hii.

Ndugu zangu nachukua fursa ya pekee ya kuwashukuru wote wanaoendelea kufuatilia blogu yao ya Hapa na Pale katik maisha.

Thanksgiving Is for Giving Thanks

Nashukuru kwa maoni yenu na changizo zenu ndio maana blogu hii inaendelea.
The Thanksgiving Story

Niwatakieni wote wikiendi njema kwa maoni zaidi endelea kuniandikia kupitia e mail ya gmsafiri@gmail.com nami nitakujibu haraka iwezekanavyo.