Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk Erick Mgaya akipanda mti wakati wa maadhimisho hayo eneo la Kikuletwa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro. |
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Said Mderu akipanda mti katika madhimisho hayo. |
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wilaya kabla ya kuanza upandaji miti kwaajili ya kutunza mazingira |