Waziri Mkuu,KASSIM MAJALIWA amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa tuhuma za ubadhirifu,rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
Watumishi hao ni Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika, MWITA MIRUMBE WARYUBA pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya, DIONIZ MUTAYOBA.