Thursday, March 17, 2016

VIONGOZI WA DINI WAFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR


VIONGOZI WA DINI WAFANYA MKUTANO WA AMANI ZANZIBAR
BAADHI YA VIONGOZI WA DINI WALIOSHIRIKI:
1.       Askofu Valentino Mokiwa, Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jimbo la Dar es salaam
2.       Askofu Augustino Shao, Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar
3.       Alhad Musa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam
4.       Askofu Dickson Kaganda
5.       Sheikh Norman Jongo, Mfanyakazi, Ofisi ya Mufti, Zanzibar
6.       Abdul Hamid Yusuf Mzee, Sheikh Tumbatu
7.       Ismail Asahil
8.       Rev. Thomas Godda Muyya (mwenyekiti Inter Religious Council of Peace Tanzania)
9.       Padri Benedict Kyefumbwa, kutoka Baraza la Maskofu Kanisa Katoliki Dar es salaam
 Viongozi wa dini wakiomba dua ya pamoja kabla ya kuanza kwa kikao
 Muhtasari wa kikao ukitolewa
 Majadiliano
 Ripoti ya hali halisi ilivyo visiwani
Mjadala ukiendelea