Thursday, March 17, 2016

TAASISI MBALIMBALI ZATOA MADA KATIKA KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI

TAASISI MBALIMBALI ZATOA MADA KATIKA KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI
Afisa kutoka kampuni ya Push Mobile Patricia Michael akitoa mada kuhusu huduma mpya ya upashaji habari kwa njia ya simu za mkononi iitwayo SIMU TV kwenye kikao kazi cha maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 17, 2016