Tuesday, March 08, 2016

RAIS DKT SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA KATIBU MSAIDIZI MKUU UENEZI NA MTANGAZAJI WA ZBC ZANZIBAR.


RAIS DKT SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA KATIBU MSAIDIZI MKUU UENNEZI NA MTANGAZAJI WA ZBC ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwaswalia Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi na pamoja na Marium Ramadhan Haji aliyekuwa Mwandishi wa ZBC,maziko yao yalifanyika leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakitikia dua iliyoombwa baada ya maziko ya Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM aliyezikwa leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja,[Picha na Ikulu.]