Wednesday, March 16, 2016

NDONDO CUP 2016 MAKUNDI HADHARANI


NDONDO CUP 2016 MAKUNDI HADHARANI
Dr. Juma Mwaka (kushoto) akimkabidhi kombe la Ndondo              Cup nahodha wa Faru Jeuri Selemani Bujji baada ya timu yake              kutwaa ubingwa wa michuano hiyo mwaka 2015
Dr. Juma Mwaka (kushoto) akimkabidhi kombe la Ndondo Cup nahodha wa Faru Jeuri Selemani Bujji baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa michuano hiyo mwaka 2015

Mshikemshike wa Ndondo Cup unarejea tena mwaka huu 2016 na tarari kamati ya mashindano imeshapanga makundi tayari kabisa kwa kuanza kwa mchakamchaka wa michuano maarufu jijini Dar es Salaam.

Ndondo Cup imeendelea kupanda chat na kujiongezea umaarufu Tanzania nzima kutokana na kusheheni vipaji pamoja na burudani mbalimbali kutoka kwa vikundi vya ushangiliaji.

Haya hapa ni makundi 12 ambazo timu zake zitacheza mechi tatu kila timu na imu mbili za juu zitafuzu kwenda raundi ya pili.

NDONDO CUP 2016

MAKUNDI

A

  • TEXAS FC
  • UKWAMANI FC
  • MKELEMI SPORTS ACADEMY
  • MIKOCHENI KOMBAINI

B

  • UBUNGO BUS TERMINAL FC
  • URAFIKI SHOOTING
  • KIGOMA UNITED
  • KISA FC

C

  • MAGOMENI KOMBAINI
  • UWAMSHO FC
  • MLALAKUWA RANGERS
  • SIMU 2000 FC

D

  • USWISI FC
  • KIJITONYAMA KOMBAINI
  • KINONDONI FC
  • TEGETA PWANI FC

E

  • MWEMBENI KINYEREZI FC
  • VIJANA RANGERS
  • ILALA FLAT FC
  • TUIMARISHE FC

F

  • ILALA STARS
  • HOME TEAM FC
  • RIO TINTO FC
  • MWANAGATI FC

G

  • INTERNATIONAL FC
  • BROKEN CHAIN FC
  • KIJIJI FC
  • FC KOLONI

H

  • TEMEKE SQUARD
  • MJIVUNI FC
  • MIANZINI FC
  • KITUNDA ALL VETERAN FC

I

  • AGGREY FC
  • MISUMARI YA NYUKI FC
  • BUZA STARS
  • SUPER MZAMBA FC

J

  • KIBUGUMO FC
  • KIBADA ONE FC
  • MAGEREZA DAR UKONGA
  • BMK FC

K

  • MADIBA FC
  • KINYEREZI UNITED
  • AZAM POLSAK
  • FOREST K`KOO FC

L

  • KINYEREZI STARS
  • KEKO MACHUNGWA FC
  • MISOSI FC
  • GOLDEN BUSH FC