Philippe Coutinho amesema ana furaha na maisha ya Liverpool na kudai kwamba kamwe hakuna mazunguzo ya yeye kwenda Real Madrid wala Barcelona.
Licha ya ripoti kutoka Hispania zilizodai Barcelona na Real Madrid zinawania saini yake, mkali huyo wa Kibrazil mwenye umri wa miaka 23, amesema hana mpango wa kuondoka Liverpool.