Kikosi kamili cha timu ya Wazalendo kabla ya mchezo wa fainali. |
Kikosi kamili cha Himo fc kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali . |
Waamuzi wa mchezo huo,Kabwe Korona,Beda Lyimo na Nassib wakizungumza na manahodha wa timu hizo. |
Benchi la ufundi la timu ya Wazalendo likongozwa na raia wa Kigeni. |
Heka heka ndani ya uwanja . |
Baadhi ya Mashabiki waliofika kushuhudia mchezo huo wa fainali. |
Mmoja wa Shabiki wa timu ya Himo fc ,Mzee Rashid aliyekuwa kiutio katika mchezo huo hasa kutokana na midadi aliyokuwa nayo wakati mchezo ukiendelea. |
Mchezo huu ulikuwani burudani kwa wakazi wa mji wa Himo wa jinsia zote. |
Huyu hakuweza kufahamika mara moja kama alikuwa ni Shabiki wa moja ya timu zilizokuwa zikicheza. |
Licha ya mchezo kuendelea bado uwanjani kulionekana kuwepo kwa kuku wakiendelea kutafuta chakula. |
Hata hivyo mchezo huo uliingia Dosari baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea mchezo kuvunjwa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |