Habari zilizotufikia huvi punde Watoto watatu waliokuwa wakiishi
Kahama wamekutwa wakiwa chini ya Chesesi ya basi la Mghamba
linalofanya safari zake kati ya Kahama na Arusha wakati
Askari wa usalama barabarani wakifanyia ukaguzi gari hilo
Mkoani Singida. Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.