Monday, April 06, 2015

BREAKING NEWS: Jeshi la Kenya LALIPIZA KISASI KWA kundi la Alshabaab KWA KUSHAMBULIA NGOME ZAO SOMALIA

BREAKING NEWS: Jeshi la Kenya LALIPIZA KISASI KWA kundi la Alshabaab KWA KUSHAMBULIA NGOME ZAO SOMALIA
Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab,ikiwa ni shambulizi la kwanza la kulipiza kisasi tangu shambulio la chuo kikuu cha Garissa,mashariki mwa Kenya ambapo watu 148 waliuawa.