BASI LA KAMPUNI YA JORDAN LAPATA AJALI, MMOJA APOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA
BASI LA KAMPUNI YA JORDAN LAPATA AJALI, MMOJA APOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA
Basi la kampuni ya Jordan linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Moshi limepata ajali maeneo ya kitangiri Nzega, inasadikiwa mtu mmoja kapoteza maisha, na wengine kadhaa kujeruhiwa.