Monday, February 16, 2015

BREAKING NEWS: WAZIRI WA UCHUKUZI AMEMSIMAMISHA kazi mkurugenzi mkuu wa bandari



BREAKING NEWS: WAZIRI WA UCHUKUZI AMEMSIMAMISHA kazi mkurugenzi mkuu wa bandari


 Waziri wa uchukuzi amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bandari Bwana madeni kipande kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utoaji wa tenda na kuchelewesha zabuni zilizokuwa zinashinda kadhalika waziri huyo pia ameunda tume ya watu sita kumchunguza mkurugenzi huyo.