Kutoka Kushoto ni Injinia Norbert Kashozya Kamishina Msaidizi-GAS, Kaimu Mkurugenzi wa TPDC James andulile, Mwenyekiti wa Bodi TPDC Michael Mwande, Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO Injinia Kapuulya Musomba na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleleo ya Mafuta Gesi Injinia Joyce Kisamo.
Kaimu Mkurugenzi wa TPDC James Andulile akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC kuongea na waandishi wa Habari katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Michael Mwande akielezea kwa kina juu ya Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es salaam leo.
Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO Injinia Kapuulya Musomba akizungumzia juu ya utekelezaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es salaam leo.
Waandishi wa habari wakiwa katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es salaam leo.
NA DAR ES SALAAM YETU