KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: SAMUEL SITTA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano 14 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mradi wa viwanja 20,000 Dar es Salaam · Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji kuhusu makabidhiano ya eneo la mradi wa mji wa Luguruni kati ya NHC na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. | · Wajumbe · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi · NHC |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa mradi wa pamoja wa JWTZ na NHC kuhusu uendelezaji wa makazi na sehemu za biashara katika eneo la Msasani. | · Wajumbe · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi · Wizara ya Ulinzi · NHC · JWTZ |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu utatuzi wa mgogoro wa mipaka kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kijiji cha Kakesio na kijiji kilichopo katika wilaya ya Meatu. | · Wajumbe · Wizara ya Maliasili na Utalii · NCAA |
Jumamosi na Jumapili 17 – 18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | · Kupokea Taarifa ya utatuzi wa mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan na Kampuni ya EKO Energy. · Kupokea taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu mgogoro wa mipaka katika msitu wa hifadhi Kazimzumbwi. | · Wajumbe · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi · Wizara ya Maliasili na Utalii |
Jumanne 20 Januari, 2015 | Kupokea taarifa kuhusu mgogoro wa Mipaka katika Pori la Akiba la Mkungunero na Changamoto zake | · Wajumbe · Wizara ya Maliasili na Utalii · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015 | · Wajumbe · Sekretarieti |
Alhamisi 22 Januari, 2015 | Kikao cha pamoja kati ya Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na Nishati na Madini pamoja na Wizara za Nishati na Madini na Maliasili na Utalii kuhusu utatuzi wa tatizo la uchimbaji madini ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara. | · Wajumbe · Wizara ya Maliasili na Utalii · Wizara ya Nishati na Madini |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kukamilisha rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015 | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 24 – 25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vitaanza saa 3:00 Asubuhi
· Chai saa 4:30 Asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 04 HADI 23 JANUARI 2015
UKUMBI-MKWAWA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 4/1/2015 | Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumatatu 5 /1/ 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | · Sekretarieti · Wajumbe |
Jumanne 6 /1/ 2015 | Kubadilishana uzoefu wa masuala mahsusi yatokanayo na ziara za mafunzo ya Kamati Norway, Uingereza na Netherlands | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano 7 /1/ 2015 | Kuchambua Muswada wa Bajeti | · Wajumbe · Sekretarieti · Mshauri Mkuu wa Sheria wa Bunge |
Alhamisi 8/1/ 2015 | Kuchambua Muswada wa Bajeti | · Wajumbe · Sekretarieti · Mshauri Mkuu wa Sheria wa Bunge |
Ijumaa 9/1/ 2015 | · Kutembelea Bandari ya Dar es Salaam kujifunza namna shughuli za TRA zinavyotekelezwa · Kutembelea Eneo la Mradi wa Kurasini Logistics Centre | · Wizara ya fedha · Wizara ya Viwanda na Biashara · Mkurugenzi Mkuu- EPZA |
Jumamosi na Jumapili 10 - 11/1/2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 12 /1/ 2015 | MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA MAPINDUZI | WOTE |
Jumanne 13/1/2015 | · Kukutana na washirika wa Maendeleo wa Mfuko wa GBS · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya; o Umeme Vijijini | · Wajumbe · GBS · Waziri wa Nishati na Madini · Mkurugenzi Mkuu REA · Wizara ya Fedha |
Jumatano 14/1/2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya; · Maji · Barabara | · Waziri wa Maji · Waziri wa Ujenzi · Mwenyekiti- Mfuko wa Barabara · Wizara ya Fedha |
Alhamisi 15/1/2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ugawaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo ya; · Uchukuzi · TAMISEMI | · Waziri wa Uchukuzi · Waziri- TAMISEMI · Wizara ya Fedha |
Ijumaa 16/1/2015 | · Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo mpaka kufikia Novemba, 2014; · Kupata mrejesho wa maoni ya Wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo | · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango · Katibu Mtendaji- Tume ya Mipango |
Jumamosi 17/1/2015 | · Kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti Mpaka kufikia Desemba 31, 2014 o Makusanyo o Mgawanyo wa Fedha. · Kupata mrejesho kutoka kwa walipa kodi kuhusu mwenendo wa kodi mbalimbali | · Waziri wa Fedha · TPSF |
Jumapili 18/1/2015 | MAPUMZIKO | WOTE |
Jumatatu 19/1/2015 | · Serikali kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Bajeti; · Kusikiliza maoni ya wadau kuhusu muswada wa bajeti | · Waziri wa Fedha · Wadau · Wajumbe |
Jumanne 20/1/2015 | Kusikiliza maoni ya wadau kuhusu muswada wa bajeti | · Wadau · Wajumbe · Wizara ya Fedha · |
Jumatano 21/1/2015 | Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti | · Wajumbe · Waziri wa Fedha |
Alhamisi 22/1/2015 | Kujadiliana na Serikali kuhusu Muswada wa bajeti | · Sekretarieti · Wajumbe |
Ijumaa 23/1/2015 | o Kamati kupitia rasimu ya taarifa yake ya mwaka; o Kamati kupitia rasimu ya taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Bajeti | · Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango |
Jumamosi na Jumapili 24 – 25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: MIKUMI - MWALIMU NYERERE
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano 14 Januari, 2015 | Kupokea maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali The Written Laws (Miscellaneous Amendments Act, 2014) | · Wajumbe · Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014):- | · Wajumbe · Mwanasheria Mkuu wa Serikali · Mhe. Athuman S. Janguo · Mhe. Arcado D. Ntagazwa · Tanganyika Law Society(TLS) · Tanzania Retired Judges Association (TARJA) · Legal And Human Rights Center (LHRC) · Shule ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM) · Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014:- | · Wajumbe · Mwanasheria Mkuu wa Serikali · Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) · DUMT · ANNAL HL · Islamic Propagation Centre(IPC) · Baraza la Sunna Tanzania (BASUTA) · Baraza Kuu la Jumuia na Taasisi za Kiislam · Jamaat Ansaar Sunna Tanzania · Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) · CPCT · Baraza la Maaskofu Tanzania(TEC) · Shura ya Maimam Tanzania · Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania · Baraza la Makanisa ya Kipentekosti Tanzania (BMKT) · Mwakilishi wa Kanisa la Wasabato (SDA) |
Jumamosi&Jumapili 17-18 Januari 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | · Kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2014, · Majumuiyo ya Maoni ya Wadau ili kupata maoni ya Kamati | · Wajumbe · Mwanasheria Mkuu wa Serikali · Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) · Prof. Abdallah Safari · Prof.Hamoud Majamba · Jaji RoberT · Makaramba · Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) · Prof. Paramagamba Kabudi · Hay Atul Ulamaa Tanzania Ithnasharia Community (TIC) |
Jumanne 20 Januari,2015 | Kujadili Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa (The Disaster Management) Act, 2014 | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge · Mwanasheria Mkuu wa Serikali · Tanganyika Law Society(TLS) · Tanzania Retired Judges Association (TARJA) · Legal And Human Rights Center (LHRC) · Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDSM) · Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) · NOLA · Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) · Shule ya Sheria( zamani Kitivo cha Sheria) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam · Tanzania Women Gender Networking Program (TGNP) |
Jumatano 21 Januari, 2015 | · Kufanya majumuisho ya maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa · Kuandaa taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa ( The Disaster Management) Act, 2014 | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge · Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
Alhamisi 22 Januari, 2015 | Kuandaa taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kukabiliana na Maafa wa mwaka 2014 | · Wajumbe · Sekretarieti |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015 | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 24 &25 Januari,2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 HADI 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: COUNCEL CHAMBER - KARIMJEE
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano na Alhamisi 14 – 15 Januari, 2015 | Kikao cha pamoja na Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara ili kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani 2014 (The Warehouse Receipts (Amendment) Act, 2014) kwa kushirikiana na Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara | · Wajumbe · Waziri wa Viwanda na Biashara · Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika · Wadau · Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya Taarifa ya Mwaka ya Utekelezaji wa Shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 - Januari 2015 | · Wajumbe |
Jumamosi 17 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumapili 18 – 23 Januari, 2015 | *Ziara ya Mafunzo katika nchi za India na Netherland | Katibu wa Bunge |
Jumamosi 24 Januari, 2015 | Kurejea Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumapili 25 Januar,i 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
* Ziara hii itategemea upatikanaji wa fedha
TANBIHI
- Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
- Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
- Tarehe 14 – 15 vikao vitafanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 4 – 25 JANUARI, 2015
RATIBA YA KAMATI NDOGO A
UKUMBI: AUSTINI SHAABA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 4 Januari, 2015 | Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumatatu 5 Januari, 2015 | · Shughuli za Utawala na kupitia ratiba · Majadiliano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kuhusu Mwenendo wa Halmashauri katika kutekeleza Hoja za Ukaguzi, hususani Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na Manispaa ya Kinondoni kwa mujibu wa matokeo ya Kaguzi Maalum zilizofanyika katika Halmashauri hizo. |
|
Jumanne 6 Januari, 2015 | Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo katika H/ Manispaa ya Temeke | |
Jumatano 7 Januari, 2015 | Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa ya Kinondoni | |
Alhamisi 8 Januari, 2015 | Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/Manispaa ya Ilala | |
Ijumaa 9 Januari, 2015 | Tadhimini ya shughuli zilizofanyika wiki ya kwanza | Wajumbe |
Jumamosi na Jumapili 10 -11 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR | · Wajumbe · RAS · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · TAMISEMI · Wizara ya Fedha · Halmashauri husika |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika H/Jiji la Dar es Salaam | |
Jumatano 14 Januari, 2015 | Majadiliano kati ya Kamati na Mameya wa Manispaa ya Temeke, Ilala, Kinondoni na Jiji la Dar es Salaam na OWM- TAMISEMI kuhusu hali halisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma katika maeneo yao- (Kikao kufanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam) | |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W Ngorongoro na H/W Karatu | |
Ijumaa 16/01/2015 | Kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Geita na Rorya | |
Jumamosi na Jumapili 17 – 18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | Kujadili Taarifa ya Hesabu za Manispaa ya Bukoba | |
Jumanne 20 Januari, 2015 | Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya ya Kasulu | |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kujadili Taarifa ya Hesabu za H/Wilaya Kwimba | |
Alhamisi na Ijumaa 22 – 23 Januari 2015 | Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha mwaka 2014/2015 | |
Jumamosi na Jumapili 24 –25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA YA KAMATI NDOGO B (Wajumbe Watano)
ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI MAENDELEO MKOANI RUKWA NA BAADAE VIKAO VYA KAMATI JIJINI DAR ES SALAAM
TAREHE | SHUGHULI |
Jumapili 4 Januari, 2015 | Wajumbe kuwasili Dar es Salaam |
Jumatatu 5 Januari, 2015 | Shughuli za kiutawala na Maelezo ya Sekretarieti kuhusu shughuli zitakazotekelezwa na Kamati |
Jumanne 6 Januari, 2015 | Wajumbe kuelekea Sumbawanga kwa gari |
Jumatano 7 Januari, 2015 | Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga |
Alhamisi 8 Januari, 2015 | Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo katika H/ W ya Nkasi |
Ijumaa 9 Januari, 2015 | Wajumbe kuelekea Sumbawanga Mjini |
Jumamosi na Jumapili 10 -11 Januari, 2015 | SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | MAJUMUISHO- OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Wajumbe kurejea Dar es Salaam |
Jumatano 14 Januari, 2015 | Wajumbe kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Kilosa na H/W ya Mkinga |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Ukerewe |
Ijumaa 16/01/2015 | Kamati kujadili Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za H/W ya Mpanda na H/M wa Mpanda |
Jumamosi na Jumapili 17 – 18 Januari, 2015 | Kuandaa taarifa ya kazi zilizotekelezwa na Kamati ndogo |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | Maandalizi ya taarifa ya mwaka ya majukumu yaliyotekelezwa na LAAC kufuatia taarifa ya ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha wa 2012/2013. |
KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 JANUARI – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: RUAHA – M/NYERERE
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es Salam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | · Shughuli za utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano - Alhamisi 14 – 15 Januari, 2015 | Kupokea maelezo ya Serikali na maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014) | · Wajumbe · Wadau · Wizara ya Kazi na Ajira · Assocition Tanzania Employees (ATE) · Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) · Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) · Attorney General (AG) · Tanzania Union of Private Security Employees (TUPSE) |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kuchambua na kupitia maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014) | Wajumbe |
Jumamosi 17Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumapili 18 Januari, 2015 | Kutembelea Uwanja wa Taifa na kukagua ufanisi wa mashine za kukatia tiketi za ki - eletroniki (Electrical Machine Devices) | · Wajumbe · Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo |
Jumatatu 19Januari, 2015 | kujadili ufanisi na matumizi ya mashine za ki eletroniki. | · Wajumbe · Wadau · Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na michezo
· Bodi ya Ligi yaTaifa · VODACOM (wadhamini wa ligi)
|
Jumanne 20 Januari, 2015 | Majumuisho ya Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014) |
|
Jumatano 21Januari, 2015 | Kupitia Rasimu ya Taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini, 2014 (The Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014) |
|
Alhamisi 22 Januari, 2015 | Kupitia sehemu ya tatu ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali (The Written Laws (Miscellaneous Amendments)(No.2)ACT,2014 inayohusu Amendment of the Employment and Labour Relation Act,(CAP.366):- | · Wajumbe · Attorney General (AG · Wadau: Tanzania Private Sector Foundation(TPSF) Association of Tanzania Employers (ATE) Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Tanzania Union of Private Security Employees (TUPSE) |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya Taarifa ya Kamati ya mwaka 2014/2015 | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 24 - 25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI
Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 23 JANUARI, 2015
UKUMBI WA MSEKWA (203)
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | § Wajumbe § Sekeretarieti |
Jumatano na Alhamisi 14 - 15 Januari, 2015 | Kikao cha Pamoja na Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili kupokea maelezo ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54, wa mwaka 2014, | · Wajumbe · Wajumbe Kamati ya Ulinzi na Usalama · Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi · Wadau |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kupokea taarifa ya utekelezaji ya majukumu ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kipindi cha Julai – Disemba 2014 | · Wajumbe · Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki |
Jumamosi na Jumapili 17 –18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Balozi za Tanzania Ulaya, Amerika, Asia na Afrika § Kupokea taarifa kuhusu hatua iliyofikiwa katika Maandalizi ya Sera ya Taifa kuhusu Utangamano wa SADC na Afrika Mashariki | · Wajumbe · Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa |
Jumanne 20 Januari, 2015 | § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za International Parliamentary Union (IPU) kwa Mwaka 2014. Saa 4.00 Asubuhi – 6.00 Mchana § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za wawakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP) kwa Mwaka 2014. Saa 7.30 Mchana – Saa 9.30 Alasiri | · Wajumbe · Wajumbe wa IPU · Wajumbe wa Bunge la Afrika (PAP) |
Jumatano 21 Januari, 2015 | § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wawakilishi wa Bunge katika Africa Carebean Pacific and European Union (ACP-EU) kwa Mwaka 2014 Saa 4.00 Asubuhi – saa 6.00 Mchana § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki( East African Legislative Assembly (EALA)) kwa Mwaka 2014 Saa 7.30 Mchana – saa 9.30 Alasiri | · Wajumbe · Wajumbe wa EALA · Wajumbe ACP-EU |
Alhamis 22 Januari, 2015 | § Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Wajumbe wa Bunge la SADC (Southern Africa Development Community – Parliamentary Forum (SADC -PF) kwa Mwaka 2014. Saa 4.00 Asubuhi – Saa 6.00 Mchana § Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za CPA Saa 7.30 Mchana – Saa 9.30 Alasiri | · Wajumbe · Wajumbe wa SADC – PF · Uongozi wa CPA Tanzania |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha 2014/2015 |
|
J/mosi –J/pili 24 –25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI: Vikao vyote vitaanza saa 4.00 asubuhi
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: BENKI KUU YA TANZANIA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | · Kuwasili Dar es Salaam | |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano 14 Januari, 2015 | · Kikao cha pamoja kati ya Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Fedha kuhusu Serikali kutokutoa Fedha asilimia 17 ya gharama katika Viwanja vya Ndege vilivyo kwenye Bajeti ya Serikali · Kutembelea Reli Assets Holding Company (RAHCO) na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi yake | · Wajumbe · Wizara ya Uchukuzi · TAA · RAHCO |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kutembelea Tanzania Railways Limited (TRL) na kupokea Taarifa ya utekelezaji wa miradi yake | · Wajumbe · Wizara ya Uchukuzi |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kutembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania na kupokea Taarifa ya Utekelezi wa Miradi yake | · Wajumbe · Wizara ya Uchukuzi |
Jumamosi&Jumapili 17&18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | · Kusafiri kuelekea Arusha kwa Ndege · Kutembelea Uwanja wa Ndege wa Arusha na kupokea taarifa ya uendeshaji wa uwanja huo · Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha | · Wajumbe · Wizara ya Uchukuzi · RAS |
Jumanne 20 Januari, 2015 | Kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na kupokea taarifa ya uendeshaji wa Uwanja huo. | · Wajumbe · Wizara ya Uchukuzi |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kutembelea Chuo Kikuu cha Sayansi cha Nelson Mandela na kupokea taarifa ya utekelezaji na utendaji wa Chuo hicho | · Wajumbe · Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia |
Alhamisi 22 Januari, 2015 | Kutembelea Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania na kupokea taarifa ya utekelezaji na utendaji wa Tume hiyo. | · Wajumbe · Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | · Kukagua barabara ya Arusha- Namanga · Kutembelea za TEMESA – Arusha · Kurejea Dar es Salaam | · Wajumbe · Wizara ya Ujenzi · Katibu wa Bunge |
Jumamosi na Jumapili 24-25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIH:
Vikao na ziara zote zitaanza saa 3:00 Asubuhi
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 -25 JANUARI, 2015
UKUMBI: HAZINA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretairieti |
Jumatano 14 Januari, 2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu Sera mpya ya Sekta ya Mafuta na Gesi, pamoja na ushiriki wa wazawa katika sekta hiyo. | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · Watendaji wakuu wa Taasisi husika. |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu hali ya Migodi ya Urani iliyopo Namtumbo, na makaa ya mawe Mchuchuma, Liganga na Ngaka. | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · STAMICO |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu hali ya Uzalishaji na Upatikanaji wa umeme nchini na hali ya kifedha ya TANESCO kwa sasa. | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · TANESCO |
Jumamosi 17-18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | WOTE |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | · Kupokea taarifa ya Shirika la maendeleo ya Petrol Tanzania kuhusu ushirikiano wa kibiashara na STATOIL · Kujadili na kutoa maoni katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014 | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · TPDC · STATOIL · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumanne 20 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uendeshaji wa Chuo Cha Madini, Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) na TMAA. · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu ufumbuzi wa matatizo ya wachimbaji wadogo nchini. | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · Chuo cha Madini · GST · TMAA · STAMICO |
Jumatano 21 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu tatizo la ucheleweshaji wa tozo ya Mafuta kwa ajili ya miradi ya REA. | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · Wizara ya Fedha · EWURA |
Alhamisi 22Januari, 2015 | Kupokea na kujadili taarifa kuhusu uuzaji wa hisa 50 katika Kampuni ya Tanzanite one | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · STAMICO |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | · Kupokea changamoto katika kusafirisha mitambo ya Kuzalisha Umeme – Kinyerezi na maeneo mengine nchini. · Kupitia rasimu ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa kipindi cha Januari 2014 – Januari 2015 | · Wajumbe · Wizara ya Nishati na Madini · TPA · TRA · TANROADS |
Jumamosi 23 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi.
· Chai saa 4:30 asubuhi.
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI, 2015
UKUMBI: JUMA AKUKWETI
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 4 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumatatu 5 Januari, 2015 | Shughuli za Utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumanne 6 Januari, 2015 | Kuelekea Kilosa, Morogoro | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Msajili wa Hazina |
Jumatano 7 Januari, 2015 | Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO iliyopo Kilosa Morogoro. | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Msajili wa Hazina · Mwenyekiti - Bodi ya RAHCO |
Alhamisi 8 Januari, 2015 | Wajumbe kusafiri kuelekea Kilombero, Morogoro. | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Msajili wa Hazina · Bodi ya RAHCO |
Ijumaa 9 Januari, 2015 | Ukaguzi wa Mradi wa kuiwezesha Bodi ya Sukari kupata ardhi kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa Sukari Chanzo cha Fedha: Program ya ASDP iliyo chini ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Mahali: Ruipa, Kilombero | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Msajili wa Hazina · Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika |
Jumamosi 10 Januari, 2015 | Kurejea Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumapili 11 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | Wote |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | SIKUKUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR | |
Jumanne 13 Januari, 2015 | · Saa 4:00 Asubuhi Kikao cha mashauriano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Saa 8:00 Mchana Kikao cha mashauriano na Msajili wa Hazina | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Msajili wa Hazina |
Jumatano 14 Januari, 2015 | Kujadili Hesabu za:- · Kampuni ya Magazeti ya Serikali · Shirika la Utangazaji Tanzania | · Wajumbe · Msajili wa Hazina · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Bodi ya TSN na TBC |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kujadili Hesabu za Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Mamlaka ya Bandari Tanzania | · Wajumbe · Msajili wa Hazina · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Bodi ya TPA |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | Kujadili Hesabu za:- · Bodi ya Sukari Tanzania · Bodi ya Korosho Tanzania · Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rujifi (RUBADA) | · Wajumbe · Msajili wa Hazina · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Bodi ya Sukari, Bodi ya Korosho na Bodi ya RUBADA |
Jumamosi na Jumapili 17-18 Januari,15 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | Wote |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | Kujadili Hesabu za Mamlaka ya Mapato Tanzania | · Wajumbe · Msajili wa Hazina · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Kamishna Mkuu, TRA |
Jumanne 20 Januari, 2015 | · Hesabu Jumuifu za Taifa · Kujadili Taarifa ya Kamati ndogo ya Hesabu za Serikali kuhusiana na Ukusanyaji mdogo wa kodi za Ardhi unaoikabili Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi | · Wajumbe · Mhasibu Mkuu wa Serikali · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kujadili Hesabu za:- · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika – FUNGU 43 · Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) | · Wajumbe · Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali · Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (kuhudhuria kikao cha kujadili Hesabu za Fungu 43) · Mhasibu Mkuu wa Serikali · Msajili wa Hazina · Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali · Bodi ya TPDC |
Alhamisi na Ijumaa 22 - 23 Januari, 2015 | Kupitia rasimu ya taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa mwaka 2014/2015 | Wajumbe |
Jumamosi na Jumapili 24-25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.
· Tarehe 13 – 23 Januari, 2015 Vikao vyote vitafanyika ukumbi wa Juma Akukweti, Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam
· Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
· Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
· Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni, 2013.
KAMATI YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 – 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: MAENDELEO YA JAMII
SIKU/TAREHE | SHUGHULI/MAHALI | MHUSIKA |
JUMATATU 12 JANUARI, 2015 | Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMANNE 13 JANUARI, 2015 | Shughuli za Utawala, Ofisi ya Bunge, Dar es Salaam | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMATANO 14 JANUARI, 2015 | Kundi A - Kusafiri kuelekea Mkoa wa Lindi Kundi B – Kusafiri kuelekea Mkoa wa Kigoma | · Wajumbe · Sekretarieti · TAMISEMI |
Kundi A Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi (Courtesy Call) pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Lindi | · Wajumbe · TAMISEMI · RC Lindi · RAS Lindi | |
Kundi B Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma (Courtesy Call) pamoja na kupokea Muhtasari wa Utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo katika Mkoa wa Kigoma | · Wajumbe · TAMISEMI · RC Kigoma · RAS Kigoma | |
ALHAMIS 15 JANUARI, 2015 | Kundi A Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Lindi · Mkurugenzi Lindi |
Kundi B Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Kigoma · Mkurugenzi Kigoma | |
IJUMAA 16 JANUARI, 2015 | Kundi A Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Lindi · Mkurugenzi Kilwa |
Kundi B Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Kigoma · Mkurugenzi Kasulu | |
JUMAMOSI 17 JANUARI, 2015 | Kundi A Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Lindi · Mkurugenzi Nachingwea |
Kundi B Kupokea na kujadili Taarifa Kuhusu Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza | · Wajumbe · TAMISEMI · RAS Kigoma · Mkurugenzi Uvinza | |
JUMAPILI 18 JANUARI, 2015 | MAPUMZIKO | · Wajumbe |
JUMATATU 19 JANUARI, 2015 | Majumuisho pamoja na Halmashauri za Mikoa ya Lindi na Kigoma | · Wajumbe · TAMISEMI · Wakuu wa Mikoa · Makatibu Tawala · Halmashauri |
JUMANNE 20 JANUARI, 2015 | Kurejea Dar es Salaam | · Wajumbe |
JUMATANO -IJUMAA 21 – 23 JANUARI, 2015 | Kujadili Rasimu ya Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015 | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMAMOSI 24 JANUARI, 2015 | Kusafiri kuelekea Dodoma | · Wajumbe |
KAMATI YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: CEEMI
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | · Kuwasili Dar es salaam | · Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | · Shughuli za Utawala · Kupokea taarifa ya uagizaji na uingizaji wa sukari nchini. · Taarifa ya uuzaji wa sukari nchini · Taarifa ya kodi iliyokusanywa kutokana na biashara ya sukari angalau miaka miwili kuishia Disemba 2014. | · Wajumbe · Wizara ya Fedha. · TRA |
· Kupokea taarifa ya uzalishaji na uuzaji wa sukari ndani na nje ya nchi kutoka kwa wenye viwanda vya sukari nchini · Kupokea Taarifa ya uagizaji wa sukari nchini (angalau miaka 2 kuishia Desemba 2014) | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Wazalishaji wa sukari nchini · Waagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi | |
Jumatano 14 Januari, 2015 | · Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ili kuujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014 (The Ware house receipts (Amendment) Bill, 2014) | · Wajumbe · Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara · Wizara ya Kilimo, Ushirika na Chakula · Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali |
Kutembelea Makao Makuu ya TBS: · kupokea Taarifa ya mfumo mpya wa ukaguzi wa bidhaa nje ya nchi kabla havijaletwa nchini. · Kutembelea na kukagua maabara ya kisasa n.k | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · TBS | |
· Kupokea taarifa ya ukusanyaji wa mapato toka sekta ya madini (Changamoto zilizopo katika mfululizo wa miaka mitano kuishia Desemba 2014) · Kupokea majibu ya hoja zilizoibuliwa na TMAA na TEITI na jinsi zilivyo shughulikiwa na TRA katika jitihada za kuongeza mapato ya serikali katika sekta ya madini (2010-2013) · Kupokea taarifa ya usimamizi wa mikataba ya Gesi ili kujiridhisha na usalama wa mapato ya taifa siku za usoni hususan mikataba ya ubia katika uzalishaji wa Gesi (PSA). | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · Wizara ya Nishati na Madini · TRA · TPDC na TMAA | |
Alhamisi 15 Januari, 2015 | Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kwa ajili ya kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014 (The Ware House Receipts (Amendment) Bill, 2014) | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali · Wadau mbalimbali |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | · Kupokea taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali kufikia Desemba 2014. · Kupokea taarifa ya ukusanyaji mapato yanayotokana na makampuni ya mawasiliano (TIGO, VODACOM, AIRTEL, TCCL, ZANTEL, n.k) – katika mfululizo wa miaka 3 kuishia Desemba 2014. · Kupokea taarifa kuhusu Mgogoro wa kimkataba kati ya SHIVACOM na VODACOM (Contract for the production of electronic recharge vouchers) na jinsi unavyochangia katika upotevu wa mapato ya Serikali. | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · TRA · TCRA |
Jumamosi 17 Januari, 2015 | Kupitia mkataba wa Liganga na Mchuchuma | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · NDC |
Jumapili 18 Januari, 2015 | Mapumziko | · Wajumbe |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | SEMINA kuhusu: · Mradi wa SELF (Small European Loan Facility) · Tanzania Micro Finance Association (TAMFI) · Sheria ya Benki na Fedha · Sheria mpya ya mambo ya Saccos na Microfinance. | · Wajumbe · Sekretarieti · Wizara ya Fedha · TAMFI · SELF |
Jumanne 20 Januari, 2015 | Kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri, maagizo na maelekezo ya kamati kwa wizara ya viwanda na biashara wakati wa kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kutembelea viwanda na kujionea fursa na changamoto zilizopo: · Murzah Oil (Kiwanda cha mafuta na sabuni) · Quality centre group of companies | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Makampuni husika |
Alhamisi 22 Januari, 2015 | Kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya: · BRELLA, · FCC · WMA. | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Brella · FCC · WMA |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kupokea taarifa ya utekelezaji ya Benki Kuu na kupokea majibu ushauri, maoni wa Kamati wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · Benki Kuu |
· Kutembelea viwanda na kujionea fursa na changamoto zilizopo: · Homeshopping centre · MM steel industries (Kiwanda cha uzalishaji wa nondo na mabati) | · Wajumbe · Wizara ya Viwanda na Biashara · Makampuni husika | |
Jumamosi 24 Januari, 2015 | · Kutembelea viwanda vya sukari vya Kilombero na Mtibwa.-Morogoro · Kutembelea viwanda vya nguo vya (Mohammed enterprises Ltd)- Morogoro | · Wajumbe · Wizara ya viwanda na biashara · Makampuni husika |
Jumapili 25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi.
· Chai saa 4:30 asubuhi.
KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI
KUANZIA TAREHE 12 - 25 JANUARI, 2015
UKUMBI: ERASTO MANG'ENYA
SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumatatu 12 Januari, 2015 | Kuwasili Dar es salaam | Katibu wa Bunge |
Jumanne 13 Januari, 2015 | Shughuli za utawala na kupitia ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumatano 14 na 15 Januari, 2015 | Kikao cha pamoja na Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ili kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 | · Wajumbe K/Mambo ya Nje na · Wajumbe K/Ulinzi · Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi · Mwanasheria Mkuu · Wadau |
Ijumaa 16 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi · Kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014 | · Wajumbe · Waziri wa Mambo ya Ndani · Mwanasheria Mkuu |
J/Mosi hadi J/Pili 17 – 18 Januari, 2015 | MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | Wote |
Jumatatu 19 Januari, 2015 | Kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014 | · Wajumbe · Wizara ya Mambo ya Ndani · Mwanasheria Mkuu · Chama cha Makampuni ya Ulinzi, · Makampuni binafsi ya ulinzi · Chama cha Wawindaji, · Makampuni ya Migodi Tanzania na Asasi zisizo za kiraia nchini |
Jumanne 20 Januari, 2015 | · Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Wizara ya Ulinzi na JKT. · Kupokea maoni wadau: TPDF, SUMA JKT, NGOME na Idara ya Usalama wa Taifa, kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014 | · Wajumbe · Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi · Wizara ya Ulinzi na JKT · Idara ya Usalama wa Taifa |
Jumatano 21 Januari, 2015 | Kuchambua Maoni ya wadau na maelezo ya Serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa Mwaka 2014 | · Wajumbe · Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi · Mwanasheria Mkuu |
Alhamis 22 Januari, 2015 | § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kutoka Ofisi ya Rais Utawala Bora § Kupokea maoni ya TIS kuhusu Ibara ya 66 hadi 68 za Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali, Na. 2 wa mwaka 2014 (Mapendekezo ya kurekebisha Kifungu cha 4 na Kifungu cha 6 vya Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa Sura ya 266) | · Wajumbe · Wizara ya Ulinzi na JKT |
Ijumaa 23 Januari, 2015 | Kupitia Rasimu ya Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati kwa Mwaka 2014/2015 | § Wajumbe § Sekretarieti |
J/Mosi na J/Pili 24 – 25 Januari, 2015 | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
- Vikao vyote vitaanza saa 4.00 Asubuhi.
- Tarehe 14 na 15 kikao kitafanyika Ukumbi wa Pius Msekwa Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam