Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo. |
Baadhi ya wakuu wa vitivo na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU)wakifuatilia hotuba ya Kaimu Makamu mkuu wa Chuo. |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MOCU) akitoa hotuba yake . |
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria sherehe hiyo. |
Wajumbe wa kamati ya zawadi ,Shadrack Madila (shoto) na Cyril Komba wakiweka mambo sawa kwa ajili ya utolewaji wa zawadi. |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akifurahia jambo na Kaimu wa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Prof,Faustine Bee. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini,