Saturday, December 06, 2014

UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA VITENDO VYA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO



UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA VITENDI VYA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wananchi wakati alipofika katika viwanja vya Bwawani Hotel Mjini Unguja kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono kama ishara ya kupokea maandamano   wakati  Vijana wa Wilaya ya kati Unguja wakipita mbele yake  leo katika viwanja vya Bwawani HoteliMjini Unguja  alipofika kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi baada ya kupokea maandamano   katika viwanja vya Bwawani Hoteli wakati alipofika kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto leo (kulia) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka wa  Ofisa Maria Obel (kushoto) alipotembelea banda la maonesho la Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto leo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii Baraza la Wawakilishi Bi Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa maonesho ya kazi mbali mbali wakati uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika leo katika viwanja vya Bwawani Hoteli Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ahmed Rashid wakati alipotembelea banda la maonesho la Umoja wa Mataifa (UN) katika viwanja vya Bwawani Hoteli Mjini Unguja wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto zilizofanyika leo (kulia) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Hamisa Miraji Mpatani  wakati alipotembelea banda la maonesho la Kituo cha Sheria katika viwanja vya Bwawani Hoteli Mjini Unguja wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto zilizofanyika leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Filbeto Ceriani Sebregondi  Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (katikati) wakati alipokuwa akitembelea maonesho mbali mbaki katika uzinduzi wa uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto zilizofanyika leo Viwanja vyaHoteli ya  Bwawani (kulia) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizindua rasmi Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto kwa kuponyeza Kompyuta katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo baada ya kutoa hutuba yake kwa Wananchi(kulia kwake) mtaalam Lukman M.Bachu
 Baadhi ya   Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo  katika ukumbi wa Salama  Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja
Baadhi ya   Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo  katika ukumbi wa Salama  Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja. Picha na Ikulu.