| Sehemu ya Wajumbe wakimsikiliza Balozi Gamaha alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo. Wajumbe hao wanahusisha Maafisa kutoka nchi wananchi, Vyama vya Kiraia na Wafanyabiashara. |
| Wajumbe wengine wakiwemo Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
| Mkurugenzi wa Idara ya Demokrasia na Utawala Bora katika Sekretarieti ya Maziwa Makuu, Balozi Ambeyi Ligabo akizungumza wakati wa mkutano wa 6 wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi Wanachama wa Maziwa Makuu. |
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bw. Peter Karasila nae akisema jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
| Kaimu Mkuugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Innocent Shiyo akiwakaribisha Wajumbe kwenye mkutano |
Mkutano ukiendelea
Balozi Gamaha (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi za Maziwa Makuu ................Matukio kabla ya mkutano |
| Balozi Gamaha akisalimiana na Balozi Ligabo alipofika Wizarani kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 6 wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi za Maziwa Makuu. |
| Balozi Gamaha akizungumza na Balozi Ligabo alipofika Wizarani |
| Ujumbe uliofuatana na Balozi Ligabo walipofika Wizarani akiwemo Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi za Maziwa Makuu, Bw. Peter Karasila (mwenye tai nyekundu) |