Friday, December 19, 2014

Mdau Salum Mpenda alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza


Mdau Salum Mpenda alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza
 Mdau Salum Mpenda akiwa kapozz kwa picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.
 Mdau Salum Mpenda (kati) akiwa na Marcina Charles (shoto) na Mariam Ibrahim wakiwa ni wenye furaha tele kwa mufanikiwa kulamza nondozz zao za Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.
Furaha ya Nondozz: Mdau Salum Mpenda akiwa kwenye picha ya pamoja na Wazazi wake Dkt. Mpenda na Mama Pili Mpenda pamoja na rafiki yake Bi. Marcina Charles nje ya chuo hicho mara baada ya kulamba nondozz yake ya Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.
 Mdau Salum Mpenda akiwa na marafiki zake aliokuwa nao Chuoni hapo.
 Mdau Salum Mpenda (pili kulia) akijadiliana jambo na wahitimu wenzake mara baada ya kulamba nondozz zao za Sheria.
 Wakati wa Chakula.
 Pongezi toka kwa marafiki.