Mkurugenzi wa Miradi wa AGPAHI, Dk Amos Nsheha akizungumza wakati wa ufunguzi wa kambi ya watoto inayofanyika wiki hii katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. |
Baadhi ya watoto wanaoshiriki kambi hiyo wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa na mgeni rasmi pamoja na viongozi wengine mbalimbali . |
Afisa Mawasiliano na huduma za Mikoba kwa jamii wa shirika la AGPAHI, Jane Shuma akizungumza katika ufunguzi wa kambi hiyo ya watoto mjini Moshi. |
Mshauri wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha tiba cha KCMC, Mchungaji Deogratius Msanya akitoa mada ya kisaikolojia katika kambi ya watoto hao wanaotoka mikoa ya Shinyanga na Simiyu. |
Baadhi ya watoto walio kwenye kambi wakifurahi na kuonesha umahiri wao wa kucheza muziki |
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na watoto, walezi na wafanayakazi wa AGPAHI. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.