Wednesday, September 17, 2014

WAFANYAKAZI WA NBC WAJITOLEA KUFUNDISHA VIJANA UJASIRIAMALI NA MBINU ZA KIFEDHA KUPITIA MPANGO WAO WA 'UNLOCKING YOUTH POTENTIAL'


WAFANYAKAZI WA NBC WAJITOLEA KUFUNDISHA VIJANA UJASIRIAMALI NA MBINU ZA KIFEDHA KUPITIA MPANGO WAO WA 'UNLOCKING YOUTH POTENTIAL'
Ofisa wa Benki ya NBC, Pendo Clement (katikati) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha ikiwa ni sehemu ya mpango wa wafanyakazi wa NBC wa kujitolea uitwao 'Unlocking Youth Potential' wa kuwafundisha vijana masuala ya ujasiriamali na mbinu za kifedha. Hafla hiyio iliandaliwa na Plan International pamoja na chuo hicho, Gongo la Mboto, Dar es Salaam jana.
Ofisa wa Benki ya NBC, Jonathan Bitababaje (kulia) akifundisha baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha ikiwa ni sehemu ya mpango wa wafanyakazi wa NBC wa kujitolea uitwao 'Unlocking Youth Potential' wa kuwafundisha vijana masuala ya ujasiriamali na mbinu za kifedha. Hafla hiyio iliandaliwa na Plan International pamoja na chuo hicho, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Benki ya NBC, Mtenya Cheya (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha ikiwa ni sehemu ya mpango wa wafanyakazi wa NBC wa kujitolea uitwao 'Unlocking Youth Potential' wa kuwafundisha vijana masuala ya ujasiriamali na mbinu za kifedha. Hafla hiyio iliandaliwa na Plan International pamoja na chuo hicho,ilifanyika Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Chuo cha Future World wakiuliza maswali wakati Ofisa wa Benki ya NBC, Victor Tesha (kulia) alipokuwa akiwafundisha masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha ikiwa ni sehemu ya mpango wa wafanyakazi wa NBC wa kujitolea uitwao 'Unlocking Youth Potential' wa kuwafundisha vijana masuala ya ujasiriamali na mbinu za kifedha. Hafla hiyio iliandaliwa na Plan International pamoja na chuo hicho, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
Vijana wanaosoma katika chuo cha Future World, viongozi wa Plan International na Wafanyakazi wa Benki ya NBC wakipiga picha ya ukumbusho baada ya mafunzo.