Friday, December 12, 2014

JESHI LA POLISI LIKO MSTARI WA MBELE KUHAMASISHA UCHANGIAJI DAMU



JESHI LA POLISI LIKO MSTARI WA MBELE KUHAMASISHA UCHANGIAJI DAMU
 Kuchangia damu ni kitendo cha kiungwana na hudhihirisha upendo, ambacho hufanywa kwa hiari bila malipo yoyote. Pichani ni kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Suzan Kaganda akichangia damu kudhihirisha upendo na kujali maisha ya Mama na mtoto.
Wito kwa wananchi; tunaomba wajitokeze katika vituo vya Mpango wa Taifa wa damu salama ili waweze kuchangia damu. 

Kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo:
Kanda ya mashariki Dar-es-Salaam -0715-339282
Kanda ya magharibi Tabora -0785733606
Kanda ya kusini Mtwara -0786852051
Kanda ya Ziwa Mwanza -0769455591
Kanda ya nyanda za juu Mbeya-0767502430
Kanda ya kaszanini Moshi- 0712102818
Damuni Tiba muhimu kwa Afya ya Mwanadamu, Damu ya binadamu pekee ndio inayotumika kumuongezea mwenye kuhitaji kuongezewa damu