Tuesday, November 25, 2014

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA


WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA

unnamed1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Katoro , Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma Novemba 24, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wao, Lolesia Bukwimba. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)