Sunday, November 23, 2014

TAARIFA YA MSIBA


TAARIFA YA MSIBA
Uongozi wa Azania Bank Ltd unasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi mwenzao,Ndg. George Godwin Njabili kilichotokea  Novemba 21,2014 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Mipango ya Mazishi inafanya nyumbani kwa Marehemu,Tabata Bima jijini Dar es Salaam.

Taarifa hii iwafikie Ndugu,Jamaa na Marafiki wote wanaomfahamu Marehemu Njabili,na tunamuombea kwa Mungu aiweke roho yake mahala pema Peponi,Amin.