Sunday, November 16, 2014

MGOGORO WA KUGOMBEA ENEO LA MALISHO, SIHA-KILIMANJARO KATIKA PICHA



MGOGORO WA KUGOMBEA ENEO LA MALISHO, SIHA-KILIMANJARO KATIKA PICHA
 



Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. 
Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.
PICHA NA KIJA ELIAS, SIHA-KILIMANJARO