Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi.
Mkuu wa shule ya sekondari Boshop Moshi,Sophia Mushi akisoma risala mbele ya mgeni ,Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia.
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni. |