Hapa na Pale Katika Maisha
Niliamua kutembea pahali nakwambia kuna siku na mie Wahindi watanitafuta. Maana jamaa wana sekeseke lao you know what I mean.