KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT.ADELHELM JAMES MERU AKIFANYA MAKABIDHIANO YA OFISI NA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALISILI NA UTALII, BI. MAIMUNA TARISHI YALIYOFANYIKA JANA JIONI TAREHE 17/11/2014 MPINGO HOUSE JIJINI DAR ES SALAAM.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Maimuna Tarishi, akimkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Adelhelm James Meru, yaliyofanyika jana jioni tarehe 17/11/2014 Mpingo House Jijini Dar es salaam.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Maimuna Tarishi, akipeana mkono mara baada ya kumkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Dkt.Adelhelm
Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt.Adelhelm James Meru, Akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Maimuna Tarishi, mara baada ya kukabidhi vitendea kazi yaliyofanyika jana jioni tarehe 17/11/2014 Mpingo House Jijini Dar es salaam. Mwingine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Selestini Gesimba.