Mjadala wa Rioti ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow hali tete Bungeni Mjini Dodoma.Wabunge wote washinikiza Mjadala huo Kusomwa lakini Mwenyekiti wa Bunhe Mbunge wa Ilala Mh Zungu ameahirisha Bunge mpaka saa kumi namoja jioni.Utata ulianza mara ya kiindi cha maswali na majibu kilioisha ndio wabunge wengi kutoka vyama mbalimbali vinavyounda Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliposimama kuomba Muongozo.