Saturday, November 08, 2014

BREAKING NEWS : MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA




BREAKING NEWS : MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA
Taarifa zilizoufikia mtandao huu na kuthibitishw ana baadhi ya watu ni kwamba, kumetokea tukio la mauaji la mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mjini Morogoro, ameuawa kwa kuchinjwa na kutobolewa mwili wake. Watoa taarifa wanasema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Msamvu Pepsi.
Taarifa zaidi tutawaletea kila tutakavyozipata. Endelea kufwatilia