Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi (wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya makada wa CCM-China wakati alipokutana nao.
Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Tawi la CCM-China Bw. Olivo Mtunge wakati alipokutana nao kwa mazungumzo ikiwa ni pamoja na kufungua tawi jipya la Chama hicho,nchini humo.
Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi akisabahiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM-China Bw. Boniphace Chija Nobeji.
Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mfanyakazi wa CCM Makao Makuu, Bw. Seluman Serela.