Friday, November 21, 2014

Bado nipo hata sasa

Wahaindi nao waliansa hivi. You know what I mean? Wakaja Africa wakagundua tupo usingizini si unajua kilichotokea? Ni kwamba wakapiha pesa kama hawana akili nzuri na wakawa ndio matajiri kuliko sie wapiga domo. You know what? Ndio miongoni mwa matajiri Afrika na kilichobaki ni sie kuwa mazuzu na kukubali kuwatukuza hata kununua bidhaa zao. I wish kama kila mtu angesema no to Hindis shop tunveona jeuri yao. Ha ha ha ha love you all.