Mhariri                wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba                ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za                "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008"                akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa                wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya                kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New                Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni                siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo                hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year                2014" itakayofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini                Dar es Salaam Oktoba 18.Sehemu ya wanahabari                waliohudhulia Semina hiyo wakifatilia mada zilizokuwa                zikiwasilishwa toka kwa baadhi ya wanahabari nguli barani                Afrika walioongoza semina hiyo.
                 Mhariri                wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba                akiendelea kutoa somo kwa wanahabari.
                        Mhariri wa Gazeti la                City Press la nchini Afrika Kusini,Ferial Haffajee                akizungumza wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari                wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi                zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini                Dar es Salaam.
                        Mhariri wa 
                Baadhi ya Wanahabari wa                Tanzania wakiuliza maswali kwa wahariri hao.
                





















