Thursday, October 02, 2014

UKWELI KUHUSU ULINZI ALIOPEWA MWANASHRIA MKUU WA ZANZIBAR BUNGENI DODOMA LEO



UKWELI KUHUSU ULINZI ALIOPEWA MWANASHRIA MKUU WA ZANZIBAR BUNGENI DODOMA LEO
 Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (mwenye Kaunda suti ya kijivu) akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma na Askari Polisi mara baada ya kushutumiwa na baadhi ya Wajumbe wa Zanzibar.